Subtraction Meditation

 

lazima kila mtu afanye hii tafakari ya kutoa au kuondoa sababu; 

AKili ya binadamu ni ile ambayo inachukuwa picha za

maisha ambayo mmoja ameishi na kuzihifathi kwenye ubongo

Kutokana na picha zile, kila aina ya mawazo hutokea

Na hio ndio msongo wa mawazo na uchungu.

Sababu binadamu anaishi kama mtumwa wa zile picha, ndio maana binadamu anapaswa kuzitupa.

Kwa mfano, ukimwambia mtu akumbuke apple na umwambie apatie tembo, itatoweka.

Kama kwamba, picha ambazo tumechukua hutoweka pia.

Maisha ambayo tumeishi  tumeibeba kama picha ambazo  sio halisi.

Mawazo ya kila mtu ni tofauti sababu kila mtu aliishi

masha tofauti na pia fikra na mawazo ni tofauti

subtraction meditation ni kuondoa mawazo ya maisha   ambayo mmoja ameishi.

Tunatoa nyekundu, orange, atano, kijani, blue, dark blue, purple. 1,2,3,4,5,6,7 sababu akili ya binadamu na mawazo ni danyanyifu. Hakuna kitu cha uKweli

 

jambo la muhimu zaidi Kwa binadamu ni kwa ajili ya kujilinda kuwa hai milele

Binadamu hajakamilika sababu binadamu haishi kweye dunia ambayo ni ukweli na anaishi kwenye akili yake ambayo imeingiana na dunia,

 

Kama tukiiteka hapa na kuonyesha,

66

 

Kwa dunia ambayo haijakamilika watu na kila kitu kwenye ulimwengu hutoeka

Tupa dunia ya akili ambayo ni picha na mawazo yote ambayo binadamu ako nayo Mmoja akirudi kwenye ulimwengu ambao ulikuwa kabla ya

Dunia kuonekana, basi binadamu ambaye hajakamilika atakamilika

Tafakari ya kutoa ni kutupa mbali ubinafsi wa uongo

88

Kama mmoja akizaliwa kutoka kwa ulimwengu ambao umekamilika na ni ukweli, ataweza kuishi kwa umri wa ulimwengu.

Ataweza kujua kanuni zote za dunia na anaweza kuwa mtakatifu Hii tafakari inaenea sana sababu mtu anapaswa tu kutupa ubinafsi wake wa

uongo ili akamilike, hio ndio maana inaenea sana duniani.

Mwaka huu watu 4513 wamekuwa ukweli hawatakufa milele na wanajua kanuni zote za dunia kwa hivyo kuna mtu hangetaka kufanya?

77

Tupa uongo ambao hujakamilika

Sababu mmoja ako ndani ya picha, Hajui chochote

Chenye Binadamu anataka kufanikisha, hawezi

Hakuna kitu hubaki kwa mawazo mengi Ya binadamu.

Machungu, mizigo, msongo wa

mawazo na chochote anafanya.

88

Kuzaliwa kwa dunia ya kweli ambayo imekamilika

Akili Hukuwa ya ulimwengu na mmoja amezaliwa kwenye ulimwengu kwa hiyo anajua kanuni zote za dunia.

kwa hiyo anajua kanuni zote za dunia.

mmoja anaeza ishi milele na ameepukana na machungu, mizigo. Msongo wa Mawazo na mateso yote.

Binafsi yake ya zamani imetoweka kwa hiyo ni uhuru mkubwa.

Kila kitu inabaki kwa yote anayofanya.